2.
Orodhesha tofauti sita baina ya malaika na
wanadamu.
3.
(a) Kwa kutumia hoja tatu, bainisha udhaifu wa
madai kuwa Mahari inashusha hadhi ya mwanamke.
(b) Toa
sabdbu tatu za mwanamke wa Kiislamu aliyefiwa na mumewe kukaa Eda.
4.
(a) Tathmini faida tatu walizopata Waislamu
baada ya matokeo ya vita ya Badr.
(b) Linganisha
vitimbi vitatu vya wanafiki wa Madina walivyomfanyia Mtume Muhammad (S .A.W) na
vile wanavyofanyiwa Waislamu wa leo.
5.
(a) Bainisha lengo la kuumbwa kwa mwanadamu.
(b) Kwa
kutumia hoja mbili, onesha tofauti kati ya mwanadamu na mnyama.
6.
Tumia hoja mbili kufafanua mgawanyo wa haki za
Mwenyezi Mungu (S.W) kwa mujibu wa uislamu.
7.
Chambua ishara tatu zilizowaongoza Waislamu
kumchagua Abubakar (R.A) kuwa Khalifa wa kwanza baada ya kutawafu Mtume (S.AW).
SEHEMU C (Alama 30)
Jibu maswali mawili (2) katika sehemu hii.
8.
Bainisha changamoto nne zinazosababisha
kutoonekana kwa matokeo ya ibada ya Hijja.
IO. Fafanua vigezo vinne vinavyotumika kubaini
tofauti kati ya sura za Quran zilizoteremshwa Madinah?
11. Miongoni mwa upotofu wa wazi katika Dini ya Uislamu ni kukataa nafasi ya Hadithi za Mtume (S.A.W) kama msingi mkuu wa shei•ia. Bainisha udhaifu wa hoja tatu za wapinzani wa msingi huo.
No comments:
Post a Comment